Viongozi wa CHADEMA nyie ni vioo vya jamii kwa nini hamtaki kufunga ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa CHADEMA nyie ni vioo vya jamii kwa nini hamtaki kufunga ndoa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ritz, Jul 11, 2011.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wana JF.

  Kiongozi yoyote ni kioo cha jamii, hivi kwa nini hawa viongozi wetu wa Chadema hawajafunga ndoa, sio kama tunaingilia mambo binafsi ya mtu hapana lazima mbele ya jamii waonekane watu wa maadili ili Watanzania wapate kuamini zaidi kuona kweli hawa viongozi wana dhamira ya dhati kuwakomboa wananchi wa Tanzania.
  Kwa uchache ngoja niwataje ili wajipange kabla ya uchanguzi ujao wawe wamefunga ndoa.

  Willibrod Slaa
  Zitto Kabwe
  John Mnyika
  Joseph Mbilinyi
  wengine ni
  Regia Mtema
  Halima Mdee
  Rose Kamili
  Esther Matiko
  wapo wengi kwa uchache nimewataja hawa naomba ushauri wangu muufanyie kazi
   
 2. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hawa ni watafuta pesa thru siasa, hakuna kiongozi hapo.
   
 3. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wamekusikia, tena wataoa au kuolewa hivi karibuni ili kudhihirisha kuwa CDM ni waadilifu.
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Huu ni ushauri tu wadau naomba tuchangie bila kejeri wala matusi najua mods wapo makini
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hii ni changamoto kwao na inabidi wajipange! Nadhani wamekusikia ushauri wako wataufanyia kazi
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Hivi hawa wanawaume? Tuanze na Mh Spika na hao 11 bora wengine

  1. Mh Sophia Mnyambi Simba
  2. Mh Vicky Kamatta
  3. Mh Eng Stella Martine Manyanya
  4. Mh Dr Rev Getrude Rwakatare
  5. Mh Mboni Mohamed Mhita
  6. Mh Lucy Mayenga
  7. Mh Anne Makinda (Spika)
  8. Mh Pindi Chana
  9. Mh . Zainab Rashid Kawawa
  10. Mh Zakia Meghji
  11. Mh Mauwa Daftari
  12. Martha Mlata
  Nitarudi tena
   
 7. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  magamba kwa kukurupuka!! Kwani hata hao waliooa wameifanyia nini nchi?
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kijana, kwa kuwa CCM nao hawa wanawake hawajafunga ndoa basi hawa viongozi wa CDM wanapata Excuse? Uongozi ni kioo cha jamii.Zakia Meghji na Mauwa Daftari wamefiwa na waume zao!
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kijana, mimi sio CCM nimeona niwashauri viongozi wa CDM kwenye ili sababu kiongozi ni kioo cha jamii lazima uwe mfano
   
 10. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,679
  Likes Received: 21,942
  Trophy Points: 280
  Wewe umeolewa?
   
 11. G

  Ginner JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  kuoa na kuolewa alina uhusiano wowote ne swala la kuwa mwadilifu katika uongozi,tena hawa waliooa ndo kila kukicha tunapigania kelele wake zao watumia vibaya mali za uma....mfano tu mama salma na kaampeni za mmewe
   
 12. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  hivi swala la kuoa na kuolewa ni la kibnafsi au kijamii?
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu, kweli kuoa ni swala binafsi, lakini ili kuwa kiongozi wa jamii kuna maadili yake pamoja na kuolea au kuoa
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Unatafuta bwana! Kaolewe na Sugu
   
 15. B

  Baikoko Senior Member

  #15
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi ndoa nini kwa sheria za Tz? Hao waliooana wamelifanyia nini taifa hili ukilinganisha na wasiooana?
   
 16. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,679
  Likes Received: 21,942
  Trophy Points: 280
  Sio Sugu mkuu,huyo hawezi kumuoa huyu labda unamaanisha Malaria Sugu.
   
 17. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kuoa au kuolewa haidhihirishi uadilifu wa mtu. Kwanza ingekuwa amri yangu viongozi wasingeoa ili wawe na mda mzuri wa ku2mikia nchi. Ila zaidi ya yote ndoa ni jambo la binafsi saana na hao uliowataja hapo juu most of them bdo vijana let us wait wakifika 45 hawajaoa ndio tuwahoji.
   
 18. Mwita Matteo

  Mwita Matteo JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2011
  Joined: May 16, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  chatu dume naomba utoe hiyo AVATAR yako...huo ni udhalilishaji wa watu wenye matatizo hasa WAFRIKA...Labda kama wewe ni Mzungu hebu fikiria huyo angekua Babu yako ungemweka hapo
   
 19. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #19
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  mkuu hao bado ni vijana na muda wa kuoa/kuolewa ukifika then watafanya hivyo...hii ni tofauti na ccm kwani watu wazima na wazee ni wengi kuliko vijana...tuwape hongera cdm kwa kuwapa nafasi vijana tofauti na vyama vingine vyote.
   
 20. m

  mataka JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  wengi wao hapo waume zao wametangulia mbele za haki, kwa hiyo si kukosa uadilifu.
   
Loading...