Nina video najaribu kuiupload lakini inagoma, inaonyesha tembo akiwa anaranda randa hovyo kwenye makazi ya watu, hali ambayo imezua taharuki na kuhatarisha usalama na maisha ya wananchi kwa ujumla!
Mfano,
1. Samehe 10 x 7 kwa siku hii inawezekana?
2. Mgeuzie na shavu la kulia alipige pia
3. Sadaka inakwenda kwa Mungu wakati wanaoitafuna tunawafahamu
4. Wazungu na Waarabu waliwatanguliza...
Kwa nyie wauzaji wa kuku kuweni makini sana na wateja wenu wanaonunua kuku kwa jumla kwani wengi wao wanatumia kipapai wakati wanakuja kununua
Kwa mfano wanaweza wakaja wakwakwambia wanahitaji...
Kwa kweli huwa nashangaa sana sijawahi kumuona mmasai mnene ,wamasai wote ninaokutana nao ni wembamba sana na weusi kichizi
Nashindwa kuelewa tatizo ni nini
Ban niliyopewa imenisaidia kwa kiasi kikubwa kupata A na kuniwezesha kuongoza
Nasema hivi kwa sababu nilitumia muda mwingi kujiandaa kusoma kuliko kuingia humu
Asante sana kwa mod uliyenipa...
Inasemekana kuwa kwenye ule ukuta mrefu uliopo China kuna viumbe wanaishi humo wanaitwa juj wa mahjuj.
Na viumbe hawa kila siku wanafanya wanautafuna ukuta huo ili waweze kuja kuleta maafa...
Kwa nini devil worshippers wengi wanapenda kuvaa nguo nzito hata kipindi cha joto?
Na kwa nini wengi wao huwa hawacheki cheki hovyo labda litokee tukio labda mtoto kagongwa na gari na matukio...
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mheshimiwa Bi. Mgeni Hassan Juma Akizungumza na Wanawake wa Kikundi cha Vital Voices Grow Kutoka Nchi za Kusini mwa Bara la Afrika Mjini Unguja.
Kikundi cha...
kufuatia tangazo la kazi linalowataka walimu watume barua zao kugombea nafasi 92 za masomo ya sayansi, najaribu kufikiria sipati majawabu yaaaani ni kigezo gani kitatumika kuwapa hawa walimu...
Katika utafiti wa Sauti za Wananchi uliofanyika mwezi Aprili mwaka 2017 na ripoti yake kuzinduliwa mwezi Julai tarehe 27.07.2017 pale Makumbusho ya Taifa (Posta, Mkabala na chuo cha IFM)...
WATU 11 wanashikiliwa na Polisi mkoani Dodoma akiwemo mganga wa jadi, Ashura Matha (33), wakituhumiwa kuhusika na kifo cha Mariam Saidi (17) aliyeuawa kikatili kwa kukatwa shingo, kutenganishwa...
Kumbe Tanzania Tuko Juu!!
I wonder who is sponsoring these Ads!!!!
=====
I don’t know much about Tanzania, but I do know how blindly compelled I am to travel there. The magic of Tanzania...
Kuna taarifa nimepata kutoka Arusha kuwa kuna ndege imeanguka na kuua rubani, ilikuwa imebeba mizigo, inasemekana imegonga mlima maeneo ya Monduli leo asubuhi kutokana na hali mbaya ya hewa...
Wakuu wa janvi salama ! ! ! Naomba kueleweshwa ,
viwanda vilishindwa kujiendesha chini ya umiliki wa umma, vikiwa na malengo hayo hayo AJIRA, BIDHAA, KODI.
Viwanda aidha...
Ruge kama Mkurugenzi wa uzalishaji wa vipindi Clouds Media nimeupenda msimamo wake ktk mambo mbalimbali toka nianze kumfahamu.
Na hata alipoombwa na Rais Dr Magufuli kumalizia tofauti zao na...
Jambo baya siku zote hulaaniwa na jamii iliyostaarabika, kwenye imani za kiroho mambo mabaya hulaaniwa, kwenye ulimwengu wa siasa mambo mabaya hulaaniwa, na kweye jamii yetu kwa ujumla, huwa...
Nasikitika sana Africa tunabaki kuwa wapumbavu mbele ya wazungu, wazungu walituwekea hii mahakama ya Uhalifu ,cause walijua mapungufu yetu ,yaani hata kudukua hatujui ,tunashindwa hata kumuomba...
Canada Just Can't Quit Its Most Abusive Mining Company
Nearly two years in, the Trudeau regime has yet to follow through on any of their promises to rein in Canada's controversial international...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.