Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau habari. Nashukuru sana ombi langu kusikilizwa, ni jana tu nilikuja kulalamika hapa jamvini juu ya menejiment kutokunisikiliza juu ya matakwa yangu. Leo asubuhi tu naona PM na Maxence...
3 Reactions
4 Replies
751 Views
Wakimbizi kutoka nchini Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Nduta wilayani Kibondo wamevamia ghala la chakula kambini hapo na kufanya fujo wakitaka chakula cha ziada. Mkuu wa wilaya ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa mtangazaji wa Kipindi cha 360 kinachorushwa na Kituo cha Clouds tv Bwana Hassan Ngoma asubuhi hii wakati akichangia mawazo yake juu ya Sheria mpya za mikopo...
5 Reactions
78 Replies
9K Views
Wakimbizi kutoka nchini Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Nduta wilayani Kibondo wamevamia ghala la chakula kambini hapo na kufanya fujo wakitaka chakula cha ziada. Mkuu wa wilaya ya Kibondo...
1 Reactions
1 Replies
796 Views
Wakati mfuko wa jamii wa LAPF ukitoa fao la kujitoa kwa wanachama wake bila ya masharti, mfuko wa jamii wa PPF umesitisha fao hilo tangu mwaka jana mwezi wa 5. Sababu zinazoelezwa na PPF ni...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna tatizo gani Tanzania Government Portal?! Mnashindwa ku-update taarifa zenu kweli? Hadi leo Gen. Mwamunyange ni Mkuu wa Majeshi kweli? Ernest Mangu bado ni IGP kweli? Ajira hazitangazwi...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Mtangazaji Geha Habibu leo August 14, 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM ametuletea Hekaheka iliyotokea Kitunda, Dar es Salaam ambapo inadaiwa kulizuka moto ambao ulizua taharuki baada ya kuwaka...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Guys nataraji kwenda mkoa tajwa hapo juu. Mwenye ufahamu na hotel nzuri ya kufikia na bei per night anisaidie. ikiwa around 25,000 to 30,000 itakuwa njema Wasalam
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa Redio DW ya Ujerumani jioni hii, wakazi wa Loliondo wilaya ya Ngorongoro mkoa wa Arusha, wamechomewa nyumba zao wakidaiwa kuishi eneo la hifadhi ya wanyamapori. Kazi hii imefanywa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Mfanyabiasha Ramadhani Athumani Juma maarufu kama Elias Jeremiah Mazimbaka amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kujitambulisha kuwa yeye ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kupitia jf na ITV habari imejitokeza habari ya wafuasi wa CUF wanaompinga prof Lipumba walivyokimbia baada ya kufutiwa mashtaka Nimewaona polisi,kwakweli kilichoonekana ni vurugu na aibu kwa...
0 Reactions
4 Replies
945 Views
Habari za muda huu wana jamii. Mimi ni mkazi wa Dar Es Salaam naomba kupewa elimu inayohusu kusajili kampuni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza habari za kwenu, Naomba msaada binafsi naishi, Yale maisha ya kawaida tu kiimani yaani sio mshika dini sana na hata kanisani huwa siendi nina zaidi ya mwaka na nusu sijaenda, ila kuna...
3 Reactions
29 Replies
7K Views
kwa walambo wote wa miaka hiyo unakumbuka nini juu ya shule yetu nzuri.
1 Reactions
73 Replies
13K Views
Ninashangaa kuona mzazi analaumiwa na wakati kuna uwezekano mkubwa sana viroba hivo na bangi izo wamenunua mtaani wakiwa wameshatoka nyumban, pia kuna uwezekano mkubwa sana kwamba vitu hizo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Imetamkwa rasmi sasa kutafanyika msako mikoa yote kuwa wajibisha walimu waliowapa wanafunzi mimba kuanzia miaka ya nyuma had I sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama una ndugu doha Qatar Na hamjawasiliana siku mbili zimepita Wasiliana na namba 0773181898, maana kuna mzanzibari kafariki doha hawajuhi ndugu Ila ukiwasiliana Na namba hiyo kwa Tanzania...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii ni zaidi ya hatari wakuu Hawa wachina naona wanaisoma namba kiaina yaani king'amuzi cha antenna 80000? Halafu kikiisha unalipia khaaaa?hii sasa kejeli
0 Reactions
5 Replies
4K Views
 hasa muda wa taarifa ya Habari SAA 2:00
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Pengine wataalamu wetu wana wajibu wa kulisemea hili; Kampuni ya bia ya TBL imekua na tabia ya kushusha bei za bia zake haswa zinapokuwa ziko katika tarehe za mwisho za ku-expire. Ilishuhudiwa...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Back
Top Bottom