Ni nini hasa kinachosababisha misitu yetu ya hifadhi kuendelea kuharibika?

James alamba

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
216
106
Watu wengi uwa wanatoa sababu zao kuhusu ukosekanaji wa mvua katika baadhi ya maeneo nchini tanzania ila nimekuja gundua kuwa uharibu wa misitu umechangia asilimia kubwa ukosekanaji wa mvua na baadae tutakuja kumbwa na njaaa.
2af25bcfac0c5ae1f69689b0741bd218.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani tulikuwa tunaambiwa na babu zetu, msitu ule msiende, kuna mizimu na mashetani yatawala.. Hatukuenda tulipata woga..

Vijana wa .com utawaeleza nini wasikie na kupata woga?
 
Ukataji wa miti uliokithiri ndio sababu, ulishafika mafinga? Mbona kule misitu ipo mingi ni sababu inatunzwa vyema kibiashara
 
Watu wengi uwa wanatoa sababu zao kuhusu ukosekanaji wa mvua katika baadhi ya maeneo nchini tanzania ila nimekuja gundua kuwa uharibu wa misitu umechangia asilimia kubwa ukosekanaji wa mvua na baadae tutakuja kumbwa na njaaa.
2af25bcfac0c5ae1f69689b0741bd218.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu factors zinazochangia katika kupungua kwa uoto wa asili ni nyingi,hata hivyo kwa ujumla wake climate change ndiyo factor kubwa kuliko zote.Ni kweli ukataji wa miti kwa ajili ya mbao na kuni au mkaa vinachangia, lakini kungekuwa na mvua ya kutosha, net balance ingekuwa positive.

Mkuu kumbuka kwamba uharaka wa uotaji wa mmea unategemea sana jua,unyevunyevu ardhini,joto la ardhini na virutubishi.Mmea ukikosa unyevunyevu wa kutosha ardhini,mmea hauwezi kukua haraka kwa kuwa utakosa virutubishi vinavyotakiwa.Ndio maana ukitembea katika sehemu zenye misitu siku hizi,hata kama misitu hiyo haikatwi mbao,kuni au mkaa,inaonekana wazi sana.
Lipo tatizo lingine ambalo si rahisi kwa mtu wa kawaida kuliona.Wadudu na magonjwa yanayoshambulia miti yameongezeka sana siku hizi kwa sababu ya climate change(contributing factor kubwa hapa ikiwa kuongezeka kwa joto).Hii imeathiri sana uoto wa asili.
 
Sasa mvua na unyevunyevu vitatoka wapi kama ukataji wa mti umeimarika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom