kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,204
- 18,472
Alhamisi mvua kubwa ilinyesha kisarawe ikiambatana na upepo mkali uliodondosha miti na nyaya katika shule ya minaki hasa ktk maeneo ya nyumba za walimu, tanesco kuitwa wakakata miti kisha wakanyofoa nyaya nakuondoka nazo bila kusema neno. Tukifanya mawasiliano wanasema wanakuja leo ni siku ya 5 hakuna umeme...