Magufuli na kuuza majengo ya serikali

Magufuli na kuuza majengo ya serikali

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,266
Reaction score
98,318
Imebainika kuwa shinikizo la kuuza Nyumba za uma lililokuwa linatolewa na waziri Ujenzi wakati Wa serikali ya hawamu ya Tatu ya rais Mkapa,ilikuwa ni kujiandalia njia ya uwekezaji huru kwa vigogo hao Wa serikali kupangisha Nyumba zao wenyewe kwa watumishi.Mfano halisi ni hapa Chato ambapo Magufuli ameipangisha halmashauiri ya wilaya ya chato Nyumba na kuitumia kwa kulipwa mamilioni ya fedha.huu ni ufisadi mwingine Wa ki somi zaidi.
 
imebainika kuwa shinikizo la kuuza nyumba za uma lililokuwa linatolewa na waziri ujenzi wakati wa serikali ya hawamu ya tatu ya rais mkapa,ilikuwa ni kujiandalia njia ya uwekezaji huru kwa vigogo hao wa serikali kupangisha nyumba zao wenyewe kwa watumishi.mfano halisi ni hapa chato ambapo magufuli ameipangisha halmashauiri ya wilaya ya chato nyumba na kuitumia kwa kulipwa mamilioni ya fedha.huu ni ufisadi mwingine wa ki somi zaidi.

magufuli ni kati ya watendaji wanaotumia ubabe dhidi ya wananchi wengi wenye ujinga na uelewa mdogo wa sheria mbalimbali,
na hapo ndipo anapojipatia umaarufu.
 
Kama nyumba kuuzwa zilishauzwa mawaziri wote, makatibu wakuu na vigogo wengine walipata hizo nyumba, na wengine wanazipangisha kwa $ sembuse hiyo iliyoko Chato labda hicho kiasi wewe ndio unakiona kikubwa, uliza uambiwe.

Yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Au umetumwa?
 
Anitume nani kiongozi,kwani siruhusiwi kuchangia mawazo juu ya maendeleo yetu?au nimekugusa Mkuu?
 
Hili jambo halitasahaulika kamwe, na ninaamini ipo siku atakuja mtawala(kutoka chama chochote, ccm/cdm/cuf/nccr) ambaye atalisahihisha kosa hili kwa kuzirejesha nyumba za uma mikononi mwa serikali na kuwaadhibu wale wote waliohusika katika njama za kujitwalia kwa hila mali ya uma, haikuwa sahihi na sio sahihi kwa mtindo huu wa kuuza nyumba za serikali eti kwa kisingizio cha kujenga mpya, mpaka leo hata robo ya zilizouzwa hazijajengwa. matokeo ni kwamba, majaji, mahakimu, madaktari, waalimu, wahandisi, na waajiriwa wengine wa serikali wananyanyasika katika nyumba za kupanga uswahilini. Swali kwa akina Magufuli, je kama waliokuwepo kwenye utawala wa Nyerere na wa Mwinyi wangeingiwa na tamaa hiyo kisha kupora hizo nyumba wao wangezikuta?? Kama mfumo huu ukiendelea maana yake ni kwamba hata nyumba chache zinazojengwa zitauzwa, hivi watoto na wajukuu zetu watakaobahatika kuajiriwa serikalini wataishi wapi wakati wa utumishi wao??
 
Hii dhambi Magufuli ataenda nayo kaburini na nina uhakika hata baada ya miaka hamsini kuna kiongozi atakuja kuzirudisha nyumba zote serikalini
 
Imebainika kuwa shinikizo la kuuza Nyumba za uma lililokuwa linatolewa na waziri Ujenzi wakati Wa serikali ya hawamu ya Tatu ya rais Mkapa,ilikuwa ni kujiandalia njia ya uwekezaji huru kwa vigogo hao Wa serikali kupangisha Nyumba zao wenyewe kwa watumishi.Mfano halisi ni hapa Chato ambapo Magufuli ameipangisha halmashauiri ya wilaya ya chato Nyumba na kuitumia kwa kulipwa mamilioni ya fedha.huu ni ufisadi mwingine Wa ki somi zaidi.

Yaonekana upo Chato lakini una fitina na Familia ya Magufuli , Ukweli ni huu:

1. Nyumba unazosema ni za familia ya Magufuli na wala si Waziri Magufuli

2. Hata hayati baba yao(Magufuli) alizijenga katika shamba lake hakuwahi kupangisha mfanyakazi yeyote wa halmahashauri

3. Nyumba hizo zimekuwa zikitumika kama Rest House ambapo viongozi wengi wa kitaifa na Kimataifa wamekuwa wakifikia hapo na kulala mfano, Raila Odinga na Mawaziri wake wanne, Rais Mustaafu Benjamin Wiliam Mkapa na Mke wake, Rais Jakaya Kikwete, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, balozi wa Japan n.k

4. So, hakuna mfanyakazi wa Halmashauri aliyewahi kupanga ktk nyumba hizo isipokuwa kama ni rest house mtu atalipia kama wengine - hizo nyumba ni biashara kama biashara zingine.

5. Hao wafanyakazi wa Halmashauri wamepanga ktk nyumba za NHC na watu binafsi mjini Chato na wala Si kwa Magufuli

6. Je, ulitaka Mzee Magufuli alipofariki hizo nyumba zibomolewe ili zisiwe rest house? Acha wivu wa kike!

7. Meseji yangu kwako ni kuwa - Ukweli utabaki kuwa Ukweli Daima! Tafakari acha kuwa na jicho la wivu.
 
Mkuu, juzi nimelala pale nikiwa natokea Bukoba, nilidokezwa na wenyeji ya kuwa Mr.Dhaifu alilala ktk nyumba hizo tena nyumba namba tisa ilikuwa tarehe 8.11.2013, asubuhi ya siku iliyofuatia (9.11.2013) Mr.dhaifu akaenda na msafara wake kumsalimia mama mzazi wa Waziri Magufuli aitwaye Suzana Magufuli , nakubaliana na wewe na tena wenyeji ilibidi wanipe stori zaidi wakisema nyumba hizo alizijenga Marehemu Askofu Balina aliyekuwa Jimbo la Shinyanga akamjengea marehemu Magufuli.

Pia, ni dhambi kubwa sana kuwaongelea na kuwatuhumu watu waliotangulia mbele za haki.

Naona Ukweli kwa uliyoyaandika japo binadamu watapambanana na wewe kupindisha Ukweli ! Pole sana.
 
Yaonekana upo Chato lakini una fitina na Familia ya Magufuli , Ukweli ni huu:

1. Nyumba unazosema ni za familia ya Magufuli na wala si Waziri Magufuli

2. Hata hayati baba yao(Magufuli) alizijenga katika shamba lake hakuwahi kupangisha mfanyakazi yeyote wa halmahashauri

3. Nyumba hizo zimekuwa zikitumika kama Rest House ambapo viongozi wengi wa kitaifa na Kimataifa wamekuwa wakifikia hapo na kulala mfano, Raila Odinga na Mawaziri wake wanne, Rais Mustaafu Benjamin Wiliam Mkapa na Mke wake, Rais Jakaya Kikwete, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, balozi wa Japan n.k

4. So, hakuna mfanyakazi wa Halmashauri aliyewahi kupanga ktk nyumba hizo isipokuwa kama ni rest house mtu atalipia kama wengine - hizo nyumba ni biashara kama biashara zingine.

5. Hao wafanyakazi wa Halmashauri wamepanga ktk nyumba za NHC na watu binafsi mjini Chato na wala Si kwa Magufuli

6. Je, ulitaka Mzee Magufuli alipofariki hizo nyumba zibomolewe ili zisiwe rest house? Acha wivu wa kike!

7. Meseji yangu kwako ni kuwa - Ukweli utabaki kuwa Ukweli Daima! Tafakari acha kuwa na jicho la wivu.
Anatetea tu
 
Back
Top Bottom