Baba Uzia
Senior Member
- Jul 19, 2015
- 136
- 54
Wadudu hatari kwenye sura ya nyani/ mbwa wawatia hofu wakazi wa Geita kutokula mboga za majani. Wadudu hao maarufu kama DUDU MTU wametapakaa kwenye mboga za majani na Matunda, inasemekana kuna sumu ambayo wanaiacha kwenye mboga hizo na Matunda na ikitokea binadamu akala anapoteza maisha.
Wakuu picha zenyewe ndio hizo japo hazina ubora wa hali ya juu, umbi lake ni kichwa tu hana miguu na anajishikiza kwenye tawi la mmea husika. Mimi nipo hapa GEITA sio longolongo na kuna baadhi ya maeneo ukikamatwa unauza mboga za majani FAINI TSH 5,000/=

Wajulishe ndugu na jamaa na wasaidizi wetu nyumbani wanapotayarisha mboga na matunda
Kuna huyu mdudu hatari anaenea kwa kasi..hakikisha mboga zinaoshwa vizuri na kwa kurudiaView attachment 526464View attachment 526466View attachment 526467