Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 913
- 547
Habari JF! Rejea mada twaja "Tanzania ya viwanda haipatikani Udsm". Napenda tushirikishane tofauti kwa fikra pana kidogo, pengine uko chuo au unatarajia kwenda chuo ni vyema tukapeana tips baadhi ilikuwekana sawa kimtazamo wa fikra.
1) Teknolojia
Kabla ya kwenda chuo au wewe ambaye uko tayari chuo ningependa ufikirie juu ya utandawazi na mahitaji yake katika Tanzania mpya tunayoijenga. Baada ya kutathimini utakuja kugundua kuwa kwa ukuaji wa teknolojia unahitajika uwe na skills ili uweze kuendela katika mabadiliko. Lakini hizi skills(ujuzi) tuaweza pata udsm!? Jibu ni hapana. Why? Kwa sababu Udsm huandaa mtu akatumikie sehemu na si kumuwezesha mtu kupata ujuzi( sisemi kwamba ni kwa wote). Viwanda vinahitaji ujuzi si vyeti hivyo inatupasa sasa tubadilike kutafuta ujuzi na si vyeti ili tuweze kuenenda katika teknolojia.
Maisha hutufundisha kuwa uzoefu ni kile unachokipata pale unapokosa kile unachokitaka hivyo ni vyema sasa tukaanza kujifunza kuaandaa watu wenye ujuzi na vyeti kwa sababu vyeti katika teknolojia havitasaidia kuanzisha viwanda bali ujuzi utasaidia kuanzisha viwanda. NB: Nimetumia Udsm kwa kujumuisha taasisi zote za elimu kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vikuu sababu elimu inayotolowea haikizi katika uhitaji wa teknolojia.