Habari wana Jamii,
Kwa yeyote mwenye mapenzi mema ya kumtumikia Mungu kwa njia ya utoaji unakaribishwa kuchangia ununuzi wa vyombo vya kumsifu Mungu Keyboard. Kwa gharama ya Million 3. Kwa yeyote anaetaka atapewa mawasiliano akiomba.
Karibuni sana Mungu atawabariki.