Adhabu ya Kifo Ipitishwe kwa Majangili wa Kuua Tembo/Faru

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,074
Suala la ujangili umekuwa mkubwa sana hapa nchini na vita hivi vinahitaji sheria kali naomba serikali ipelekee mswaada bungeni ili mtu/watu wakipatikana na hatia ya kuua Tembo ama Faru adhabu iwe kuhukumiwa kunyongwa mpaka kufa. Kama sheria kali isipowekwa baada ya miaka 20 wanyama hawa wataisha.
Ukichunguza kwa makini Mfano wa wanyama kama Tembo wanaishi pamoja kifamilia kama wanadamu na anapouwawa mmoja wao huwa wana majonzi kama sisi binadamu. Ni muhimu kuwalinda wanyama hawa kwa ajili ya vizazi vyetu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom