eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Jana niliifuatilia sana usomwaji wa bajeti ya serikali ya ccm na siku zote Nalia na déni la taifa tunalodaiwa watanzania limeshafikia trilioni 100 sasa kwa mujibu wa waziri wa fedha
Sasa mipango ya kulilipa kama taifa sijui iko wapi na bado tunaendelea kukopa
Déni la taifa trilion 50.8
Déni la ndani trilion 42.8
Hiyo ni kwa mujibu wa waziri wa fedha
Sasa mipango ya kulilipa kama taifa sijui iko wapi na bado tunaendelea kukopa
Déni la taifa trilion 50.8
Déni la ndani trilion 42.8
Hiyo ni kwa mujibu wa waziri wa fedha