Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,354
- 2,144
Baada ya kurejea kutoka nchini Marekani kwa matibabu, wanafunzi watatu walionusurika kwenye ajali mbaya ya gari, asubuhi hii wanafanyiwa tafrija maalum shuleni kwao.
Tazama live: LIVE: Hatimaye Watoto wa Lucky Vincent Warejea Shuleni Kwao
Tazama live: LIVE: Hatimaye Watoto wa Lucky Vincent Warejea Shuleni Kwao