Ujirani Mwema...

Ujirani Mwema...

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
3,606
Reaction score
3,674
Kujenga Nyumba na kuweka/kuzungushia UKUTA (Fence) isikujengee kichwani mwako kuwa unaweka uzio kwa jirani yako, asikusogelee kulia shida yake, ama kuuliza/kujua hali yako....!!

cebd33e46a2091fc2c516e3b5495f07d.jpg


Mungu ni Mwema na haweza kuzungumza na Viumbe wake kufikisha Neema na Baraka kwa jirani, bila kujali Uzio/Kuta na vikwazo mbalimbali anavyo weza kuweka Binaadam...!!

Mgomba kapanda jirani....! Ni dalili ya wazi...baada ya Mavuno, kuna kula na kusherehekea Ujirani Mwema.

23917f2de1fc35d9a25c431bde30d54f.jpg


Ni Mti wa Mlonge, ameukuza Jirani...!! Hakuna asiyejua faida mbalimbali zitokanazo na mti wa Mlonge (Moringa Tree)...!!

Kupitia ujirani Mzuri, pamoja na Vikwazo vya Kuta/Uzio uliojengwa na Mwanaadamu, bado Mungu akisema ndio,basi humaanisha kwa dalili za wazi kabisa...!!

Mungu ni Mwema...!
Nawatakia wana JF wote Jumapili Njema.

Tuzidi kudumisha upendo kwa MAJIRANI ZETU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom