Matumizi ya simu za mkononi kazini wizara ya afya

Joined
Mar 7, 2017
Posts
11
Reaction score
13
Naomba waziri anaye husika na wizara ya afya apige marufuku matumizi ya simu wakati wa kazi, nimeenda hospital ya sekoutoure mwanza nikiwa na mama mjamzito badala ya kupewa kitanda hakuna huduma nyingine iliyoendelea zaidi ya maness kuwa bize na kuchart mpaka mgonjwa wangu amepoteza mtoto kwa kukosa msaada wa nesi, naiomba wizara ya afya iangalie kwa makini swala hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!!!pole sana,ilishawahi toka hivo kwa mama yangu mdogo...mama angu ndie aliemsindikiza,waliwapeleka mahakamani.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Poleni jaman[emoji19] [emoji19]

LOVE ABOVE ALL[emoji173]
 
Manesi kwa kweli asilimia kama sio yote ni mizigo, Wanakera mno licha ya kuwa na roho mbaya wanapokomaa na kazi kuna kila sababu ya hawa watu kufatiliwa point to point mana Hawakulazimishwa kusoma Nursing kama hawakusomea kwa wito bali njaa zao nasema Wawe makini
 
Poleni sana mkuu. Hawa manesi sometimes mambo yao sio kabisa, huwa sisahau nilivyompoteza first born wangu hapo hospitali ya Temeke.
 
Naomba waziri anaye husika na wizara ya afya apige marufuku matumizi ya simu wakati wa kazi, nimeenda hospital ya sekoutoure mwanza nikiwa na mama mjamzito badala ya kupewa kitanda hakuna huduma nyingine iliyoendelea zaidi ya maness kuwa bize na kuchart mpaka mgonjwa wangu amepoteza mtoto kwa kukosa msaada wa nesi, naiomba wizara ya afya iangalie kwa makini swala hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Cm hazitumiki kuchati tu uelewe cm inatumika kuhudumia wagonjwa inaumuhimu mkuu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'Teknolojia' ina pande mbili ya faida na hasara. Ikitumika vizuri inaleta tija vinginevyo inaleta hasara. Kwa hiyo nachelea kusema kwa tukio lako hilo hao manesi wameitumia vibaya. Lakini siyo wote wenye matumizi mabaya mkuu na kupelkea maafa.
Hivyo hawa wanaotumia vibaya simu zao na kusababisha maafa ndo deal nao tuangalie namna ya kuwawajibisha ili uzembe uwatoke. Pole sana mkuu kwa mgonjwa wako kupoteza mtoto.
 
Cm hazitumiki kuchati tu uelewe cm inatumika kuhudumia wagonjwa inaumuhimu mkuu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
According to mleta uzi mgonjwa wake aliachwa bila huduma, manesi wakiwa busy na simu let's say walikua wanahudumia wagonjwa wengine kupitia simu while kuna mgonjwa anayehitaji huduma yupo mbele ya macho yao hakika huo ni upuuzi wa hali ya juu.

sent from kuzimu
 
Hawakuwa bize na wagonjwa wengine walikuwa bize tu na simu, sababu doctor alikuwa amepita na amechukua vipimo kwa wagonjwa na mgojwa wangu tayari alikuwa ameisha pata huduma toka kwa doctor kilichobaki ni kuingia chumba cha wazazi tu, baada ya uchungu kuanza alimuita nes na nes wala hakuenda ikabidi asukume tu bila ya msaada wa nes baada ya kutoka mtoto amekufa ndio wakaja wakaanza kuulizana namna ya kuandika report.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manesi kwa kweli asilimia kama sio yote ni mizigo, Wanakera mno licha ya kuwa na roho mbaya wanapokomaa na kazi kuna kila sababu ya hawa watu kufatiliwa point to point mana Hawakulazimishwa kusoma Nursing kama hawakusomea kwa wito bali njaa zao nasema Wawe makini
Mkuu punguza jazba wangekuwa mizigo sasa unapelekea wangonjwa wa nn akati ni mizigo!
Mzigo halafu unatoa huduma kwa watu?
Halafu pia huwez jua pengine hiyo simu alikuwa anapewa maelekezo.
 
Hawakuwa bize na wagonjwa wengine walikuwa bize tu na simu, sababu doctor alikuwa amepita na amechukua vipimo kwa wagonjwa na mgojwa wangu tayari alikuwa ameisha pata huduma toka kwa doctor kilichobaki ni kuingia chumba cha wazazi tu, baada ya uchungu kuanza alimuita nes na nes wala hakuenda ikabidi asukume tu bila ya msaada wa nes baada ya kutoka mtoto amekufa ndio wakaja wakaanza kuulizana namna ya kuandika report.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mkuu wakat wote huo ww unawaangalia tu hao manesi
Wote wanachat na simu na huwaambie wamsaidie mgonjwa wako?
 
According to mleta uzi mgonjwa wake aliachwa bila huduma, manesi wakiwa busy na simu let's say walikua wanahudumia wagonjwa wengine kupitia simu while kuna mgonjwa anayehitaji huduma yupo mbele ya macho yao hakika huo ni upuuzi wa hali ya juu.

sent from kuzimu
Aaah kumbee ni upuzi wa hali ya juu eehh bas sawa
 
Back
Top Bottom