TCRA wachukulieni hatua kali hawa watu wa EATV na EA Radio ni wapuuzi sana

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,779
18,747
Hawa watu wamekuwa wakiandika posts nyingi kwenye ukurasa wao wa Facebook zenye nia ya kufarakanisha na saa nyingine kuleta mshtuko ili wapate watembeleaji kwenye mtandao wao na comments nyingi kwenye posts zao

Kuna posts waliandika kuhusu Mrisho Gambo wakimnukuu 'Mkinipa ubunge nitawapa mashamba' kisha wanakuandikia soma na kukuwekea link ukifungua ndani ni tofauti na kilichoandikwa

Leo kuna post nyingine nimeiona wameandiaka ''Odinga ameuawa Kenya, mwili wake waupwa sokoni'' na kuweka link soma...
Hii ni mifano michache tu ila wanaandika posts nyingi kama hizi ukiingia kwenye ukurasa wao wa Facebook utashuhudia
Ni namna ya uandishi ambao hauna weledi kabisa na unaolenga kuvuta traffick kwenye website yao kwa njia ya kuleta taharuki

Ningewaomba TCRA najua mpo huku Jamiiforums muwaonye hata kuwachukulia hatua watu hao maana wanalenga kuleta taharuki

Capture.PNG
 
Hivyo vituo vilishapoteza mvuto si kwa wasikilizaji na watazamaji tuu bali hata kwa makampuni ya kupeleka matangazo....Hivi vituo vinajifia.. kabisa mikononi mwa mtoto wa Mengi....Ubunifu zero ,hawana jipya...hawachangamki, wamelala, hawaoni... yaani hata kutazama wenzao wakina Clouds na Efm wanavyo fanya wameshindwa kabisa..
Mengi ana paswa kuchukua maamuzi magumu kunusuru hivi vituo....hakika vimepoteza kabisa ushawishi kwa jamii na sababu kuu ni management kulala tuu hawana jipya.
 
Hawa watu wamekuwa wakiandika posts nyingi kwenye ukurasa wao wa Facebook zenye nia ya kufarakanisha na saa nyingine kuleta mshtuko ili wapate watembeleaji kwenye mtandao wao na comments nyingi kwenye posts zao

Kuna posts waliandika kuhusu Mrisho Gambo wakimnukuu 'Mkinipa ubunge nitawapa mashamba' kisha wanakuandikia soma na kukuwekea link ukifungua ndani ni tofauti na kilichoandikwa

Leo kuna post nyingine nimeiona wameandiaka ''Odinga ameuawa Kenya, mwili wake waupwa sokoni'' na kuweka link soma...
Hii ni mifano michache tu ila wanaandika posts nyingi kama hizi ukiingia kwenye ukurasa wao wa Facebook utashuhudia
Ni namna ya uandishi ambao hauna weledi kabisa na unaolenga kuvuta traffick kwenye website yao kwa njia ya kuleta taharuki

Ningewaomba TCRA najua mpo huku Jamiiforums muwaonye hata kuwachukulia hatua watu hao maana wanalenga kuleta taharuki

View attachment 572158
Wewe ndiye mjinga! Je hiyo habari ni ya Uongo? Wangeandika Raila Odinga hapo sawa, ila Odinga wapo wengi, ni namna ya kuwaelimisha watu Wajinga kama wewe unaposikia jina Moja tu usiwe na kiherehere Cha ku conclude kuwa ni Fulani! Soma hiyo link utamjua Odinga (Afisa Uchaguzi) aliyeuwawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena safi sana wanakomesha tabia yakusoma kichwa cha habari na kukurupuka kutangazia watu habari ambazo ujasoma kupata usahihi wake ,kwa maana ingine kuwaumbua wambea Wa mtaani ambao sasa wapo mitandaoni .safi sana ETV endeleeni hivyo hivyo
 
Wewe ndiye mjinga! Je hiyo habari ni ya Uongo? Wangeandika Raila Odinga hapo sawa, ila Odinga wapo wengi, ni namna ya kuwaelimisha watu Wajinga kama wewe unaposikia jina Moja tu usiwe na kiherehere Cha ku conclude kuwa ni Fulani! Soma hiyo link utamjua Odinga (Afisa Uchaguzi) aliyeuwawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali umemuelimisha, kidogo nimtolee povu kwa uvivu wake wa kutokufikiri.
 
Hawa watu wamekuwa wakiandika posts nyingi kwenye ukurasa wao wa Facebook zenye nia ya kufarakanisha na saa nyingine kuleta mshtuko ili wapate watembeleaji kwenye mtandao wao na comments nyingi kwenye posts zao

Kuna posts waliandika kuhusu Mrisho Gambo wakimnukuu 'Mkinipa ubunge nitawapa mashamba' kisha wanakuandikia soma na kukuwekea link ukifungua ndani ni tofauti na kilichoandikwa

Leo kuna post nyingine nimeiona wameandiaka ''Odinga ameuawa Kenya, mwili wake waupwa sokoni'' na kuweka link soma...
Hii ni mifano michache tu ila wanaandika posts nyingi kama hizi ukiingia kwenye ukurasa wao wa Facebook utashuhudia
Ni namna ya uandishi ambao hauna weledi kabisa na unaolenga kuvuta traffick kwenye website yao kwa njia ya kuleta taharuki

Ningewaomba TCRA najua mpo huku Jamiiforums muwaonye hata kuwachukulia hatua watu hao maana wanalenga kuleta taharuki

View attachment 572158
Wewe ndo mpuuzi
 
Hao wapuuzi achana nao, kila mara post zao zinaanza na "utafiti umeonesha......." alafu kinachofuata ni utumbo tu. Kisha wanaomba maoni ya wasomaji wao ambao nadhani wengi wao ni watoto wa sekondari.
 
Hawa watu wamekuwa wakiandika posts nyingi kwenye ukurasa wao wa Facebook zenye nia ya kufarakanisha na saa nyingine kuleta mshtuko ili wapate watembeleaji kwenye mtandao wao na comments nyingi kwenye posts zao

Kuna posts waliandika kuhusu Mrisho Gambo wakimnukuu 'Mkinipa ubunge nitawapa mashamba' kisha wanakuandikia soma na kukuwekea link ukifungua ndani ni tofauti na kilichoandikwa

Leo kuna post nyingine nimeiona wameandiaka ''Odinga ameuawa Kenya, mwili wake waupwa sokoni'' na kuweka link soma...
Hii ni mifano michache tu ila wanaandika posts nyingi kama hizi ukiingia kwenye ukurasa wao wa Facebook utashuhudia
Ni namna ya uandishi ambao hauna weledi kabisa na unaolenga kuvuta traffick kwenye website yao kwa njia ya kuleta taharuki

Ningewaomba TCRA najua mpo huku Jamiiforums muwaonye hata kuwachukulia hatua watu hao maana wanalenga kuleta taharuki

View attachment 572158
Wewe ndio unamatatizo kwa Odinga yuko Moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom