ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,998
- 2,242
Huenda sie walimu wa sanaa tulikwisha mkosea kitu huyu rais wa nchi hii na kaamua kutusomesha namba sawa na akina manji, lugumi et al
itakumbukwa hata kura hatukupiga 2015 kwani uandikishwaji ulifanywa tukiwa chuo, sasa hii chuki dhidi yetu umeitoa wapi
nikahisi labda unatukomesha kwa sababu hatukukuchagua
hebu tuambie wewe baba jesca, walimu wa sanaa tumekosea nini hadi usitake kutusikia kabisa katika soko la ajira?