balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,698
- 15,434
Nipo bank nmb hakuna kitu labda uniambie umetoka kwa wanaochukua bank gani
TuthibitishieMishahara imetoka lakini kwa majonzi makubwa hakuna ongezeko.... Serikali ya wanyonge!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetumia mesej na NMB saa nane leo hii.Nipo bank nmb hakuna kitu labda uniambie umetoka kwa wanaochukua bank gani
Tayari ,mimi nimeonammh! tunatoana roho yarabi!!! Hakuna mshahara ulioingia wa mwezi huu
mmh!
Mmmh
sasa PM tena wakati wananchi wengi wana hamu ya kusikia habari njema, hahahahaha ila weeee balibaambonahi una mambo kweli