Kwa nini Tanzania Distilliers hapiti kwa wasambazaji kukamata Konyagi bandia?

Chrizant Kibogoyo

Senior Member
Aug 12, 2016
159
81
Kwa hakika nimekuwa nikijiuliza ni kwanini hatuioni hii kampuni ikipita ktk wasambazaji na wauzaji wa bidhaa yao ya konyagi kukamata bidhaa bandia?
bidhaa bandia ya Konyagi inauzwa karibu ktk sehemu mbalimbal zinazojulikana.
Na kampuni haionekani kuchukua hatua zozote
 
aisee kweli tupu kuna konyagi nilikunywa mpaka nikajua wazi hapa wajanja wamecheza
Inasikitisha kuwa hats TRA, TFDA n.k hawaonekani kujali kukagua hii bidhaa kubaini hizo nembo zao zinazowekwa ktk hizi bidhaa bandia zinazouzwa hadharani zimekidhi viwango na kodi stahiki kulipwa
 
Back
Top Bottom