Sasa nimeshtuka jamaa kwanini anaogopa kusafiri safiri nje ya nchi

MAGHAYOO

Senior Member
May 1, 2017
146
266
Poleni sana watanzania wenzangu mliobomolewa nyumba zenu. Huyu mtu ni ROHO MUARIBIFU TENA MCHAFU. Mkikumbuka wewe ni mtu gani yani kaingia madarakani tu hata wiki mbili hazikupita kaanza kubomolea watu nyumba zao hovyo tu baadaye akasitisha sijui ni masharti ya mganga wake?

Laana zinamuandama Sasa hivi kama ishu Bombardier kukamatwa alipe deni alilosabibishia taifa na bado kuna mengi yatafichuka. NDIO MAANA ANAOGOPA KUSAFIRI NJE WANAUME WATAMSHIKILIA NAKUMZUIA ASIRUDI.

Alaaniwe kwa ROHO YAKE CHAFU, MBAYA NA HARIBIFU
 
Hata mimi nimeshajua kwa nini Mamako na babako wanalala Muzungu wa 4!
 
Poleni sana watanzania wenzangu mliobomolewa nyumba zenu. Huyu mtu ni ROHO MUARIBIFU TENA MCHAFU. Mkikumbuka wewe ni mtu gani yani kaingia madarakani tu hata wiki mbili hazikupita kaanza kubomolea watu nyumba zao hovyo tu baadaye akasitisha sijui ni masharti ya mganga wake?

Laana zinamuandama Sasa hivi kama ishu Bombardier kukamatwa alipe deni alilosabibishia taifa na bado kuna mengi yatafichuka. NDIO MAANA ANAOGOPA KUSAFIRI NJE WANAUME WATAMSHIKILIA NAKUMZUIA ASIRUDI.

Alaaniwe kwa ROHO YAKE CHAFU, MBAYA NA HARIBIFU
Magufuli ni kati ya watu wanaotumia nguvu zaidi ya akili katika kazi inayotaka akili zaidi ya nguvu.

Sent from my Kimulimuli
 
English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English English error error error

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaogopa jamaa wanaweza kupiga mnada ndege yake,lakini ukweli ni kwamba katika dunia ya leo ukiona mtu anachukiwa sana ujue ya kwamba ni MPENDA HAKI,ANACHUKIA UNYONYAJI NA HAPENDI WIZI PAMOJA NA NJIA ZA MKATO.
NB:DUNIA YA SASA UKIWA MWEMA NA TABIA NJEMA UTACHUKIWA SANA
Mkandamiza haki hawezi kupenda haki
 
Mkuu kwenda ughaibuni kunahitaji watu waelewa wanaoweza kuongea kwa kupangilia hoja..huyu wa kwetu dishi huwa linacheza na anasahau kupangilia hoja..so yambele anaweka nyuma ya nyuma mbele mradi anafanya fujo tu+kurusha mikono kama tupac au mpigambizi ktk olympic
 
Pambana na hali yako, aliyewatuma kujenga kwenye hifadhi ya barabara ni nani!?
Hifadhi ya barabara mita 120?hata tuliosafiri kwenda south africa na marekani kwa mfano hakuna road yenye upana huo duniani hii ni ya kwanza...!
 
Back
Top Bottom