Bodi ya Mikopo, Bodi ya Mikopo mna ajenda gani?

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,757
437
Waombaji wa Mkopo kwa kujisajili kwa njia ya mtandao kuwa uwezekano mkubwa kukosa mkopo.

1- Waombaji wamekuwa wanalipa pesa kama inavyoelekwa kuipitia mpesa na tigo pesa bila ya mtandao wa bodi kumruhusu mwombaji kuendelea na hatua nyingi.

2- Ukipata bahati ya kuendelea unakwama katika unabaki hewani.

3-Kimbukeni kuna vijana wengi wako Jkt muda ya kujisajili bila mafanikio.

4- Ukibahatika kufika hatua ya kuprint fomu yako ni shida.

5-Simu za bodi ilikuomba msaada alipokelewi.

TUNAOMBA KUZIFANYIA KAZI CHANGAMOTO ZA MTANDAO WENU WATU WA BODI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wana mambo ya kijinga sana kama jamaa mmoja humu maarufu huwa anapenda kupost nyuzi za Uchawi utadhani anaujua kumbe anazitoa Buzuki.blog anazi paste humu. Na mijitu inamsiifu.
Kumbe Hamna kitu.
 
Back
Top Bottom