Maisha ya watanzania

Maisha ya watanzania

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,782
Reaction score
31,298
Maisha ya watanzania magumu sana kutokana na serikali iliyopo.
.Hakika msipofanya kitu katika kuuondoa huu utawala na vizazi vyake mtapata tabu sana sana nawaambia.

Mungu awaongoze na atende jambo katikati yanu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi wenzetu warundi mlifanikiwaje ktk jambo kama hili Mkuu?
 
Maisha ya watanzania magumu sana kutokana na serikali iliyopo.
.Hakika msipofanya kitu katika kuuondoa huu utawala na vizazi vyake mtapata tabu sana sana nawaambia.

Mungu awaongoze na atende jambo katikati yanu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni mkuu naskia kwenu congo kuna maafa,mwenyezi mungu awafanyie wepesi.
 
Back
Top Bottom