Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

20 Who could have known Mugabe would ever have a daughter as cute as her considering his own look. Bona Mugabe 24-year-old daughter of Zimbabwe President Robert Mugabe clearly took the 10th spot...
3 Reactions
169 Replies
59K Views
Waandishi wa habari (sio wote please, nieleweke) wetu jiongeze weledi katika kazi yenu. Kuweni wabunifu na jisomee kuongeza maarifa. Acheni ushabiki wa mtu, siasa etc, maintain professionalism. Be...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba msaada.. ukiota ndoto inayohusiana na paka ina maana gani kulingana na maandiko matakatifu . Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Kiini hiki kikipatiwe ufumbuzi suala hilo litapungua kabisa. Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Venerose Mtenga...
0 Reactions
2 Replies
750 Views
Nimefuatilia sakata la kuripuka na kuungua kwa ofisi za IMMA na tamko la TLS na mvurugano miongoni mwa wanasheria wa nchi hii, nimegundua ni vigumu mno kupata haki ndani ya nchi hii kama watetea...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana JF Neno tajwa hapo juu lahusika, hili neno limekua na faida na madhara makubwa sana kwenye maisha yetu sisi wanaume. Kwenye maisha ya kila siku, invoice zimetufanya tuwe wabunifu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
habari wakuu nimeleta kwenu taarifa hii nikiamini wasomi pamoja na watu wanaojua umuhimu wa elimu wamejaa humu. kuna kijana mmoja wa kiume(kwa sababu maalum sitaweka jina lake...
0 Reactions
0 Replies
505 Views
DAR ES SALAAM MKAZI wa jijini Dar es Salaam, Khairat Omary, ameishtaki Hospitali ya Kairuki na kudai fidia ya Sh milioni 155 kwa kumsababishia matatizo katika mfuko wa uzazi yaliyofanya aondolewe...
4 Reactions
59 Replies
8K Views
Huwa najiuliza sana. Kwa nini Polisi huwa wanaimarisha ulinzi mzito sana baada ya matukio kuwa yametokea. Mfano wizi ,ujambazi, mauaji, moto vikitokea na watu kutokomea, Polisi huimarisha ulinzi...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Tanga. Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dk Augustine Mahiga amesema kikundi chochote cha kigaidi au kiharamia kitakachoingia katika moja ya nchi...
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Jamani mwenye taarifa alipo Ben Saa nane aisaidie polisi.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ikungi. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Miraji Mtaturu ameyashauri mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yanayojishughulisha na mapambano dhidi ya ukeketaji kupanua wigo kwa kuanza kutoa...
0 Reactions
1 Replies
607 Views
Viwanja zaidi ya 22,000 na hoteli za kifahari katika Manispaa ya Dodoma zinatarajiwa kuondolewa ili kupisha makazi ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Hali hiyo inakuja ikiwa ni miezi 11 tangu Waziri Mkuu...
3 Reactions
63 Replies
7K Views
Walimu wawili wa shule ya Sekondari ya Kikala wilayani Lushoto mkoani Tanga, Fredrick Shebila na Saadat Mohamed, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kufanya mapenzi na wanafunzi wawili wa...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Watu 5 wamefariki na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha lori la mizigo lililokuwa limebeba abiria mkoani #Singida.
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kama Watanzania bila kujali Umri, Itikadi zetu za Kisiasa, Jinsia, Kabila, Elimu na hali zetu za Kiuchumi kwa muda wa siku tatu mfululizo tumeweza kuhamasishana na kuhamasishwa na 'Mghaibuni...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeagiza Shirika la Madini la Taifa (Stamico) kufuatilia Sh1.6 bilioni ambazo ni tofauti iliyokuwa inatakiwa kulipwa na kampuni ya Madini ya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
kwanza nakupa hongera kwa kuteuliwa kuwa kamanda wa kanda maalum ya DSM hakika ni mkoa wenye changamoto lukuki lkn naamini kwa ushirikano wa pamoja na ukiongeza ubunifu hakika tutafanikiwa sana...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna tabia ya watu hasa wakiwa kwenye daladala unakuta mtu anaandika tu ujumbe wa kuinjika maharage kwa dada wa kazi lakini anavyoificha hiyo simu ili usione anachoandika utadhani anatuma ujumbe...
8 Reactions
83 Replies
7K Views
Inasikitisha! Neno hili linatosha kueleza hali halisi ya wakazi wa Kimara Stop Over hadi Kibamba CCM ambao wanalala nje baada ya nyumba zao kukumbwa na bomoabomoa. Kazi hiyo inatekelezwa na...
4 Reactions
81 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…