D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,181
habari wakuu
nimeleta kwenu taarifa hii nikiamini wasomi pamoja na watu wanaojua umuhimu wa elimu wamejaa humu.
kuna kijana mmoja wa kiume(kwa sababu maalum sitaweka jina lake hadharani),amemaliza kidato cha nne mwaka jana amepata ufaulu wa division three mchepuo wa Sanaa(arts),lakini hajapangiwa shule maisha ya familia yao si mazuri kiuchumi.
juzi nilionana na mama yake(ni mjane baba wa mtoto alifariki mtoto akiwa mdogo)alinieleza matatizo yake kiukweli mi kama mtu mzima ingawa sina mtoto niliumia sana.
Mama ana uchungu wa elimu anadai yeye hakusoma ndio maana ana maisha yale mwanae kajitahidi asome hajapata shule na kumpeleka private anashindwa.
niliumia nikamuahidi kumsaidia kutafuta msaada mtoto aendelee na elimu kiukweli dogo ana hamu sana ya kusoma.
naamini wanajamiiforum kwa pamoja tunaweza kusaidia mtoto huyu apate haki yake ya elimu kwa kumpeleka shule hivyo
√yeyote anayeweza kumsaidia mtoto huyu kwa kumsomesha shule yeyote awasiliane nami
√ikishindikana basi naamini kwa pamoja tunaweza kujichanga ili mtoto huyu asome
-kwa kuanzia ntajitolea Sare pamoja na vifaa vyote vya shule atakayoipata(pamoja na nauli)
kuepusha utapeli sihitaji kutumiwa pesa mimi au mnaweza kuamua njia ifaayo
MAWASILIANO
- +255717107952-dogo
pamoja tunaweza kufanikisha ahsanteni
“Start where you are. Use what you have. Do what you can.”