Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 529
- 909
Kuna tabia ya watu hasa wakiwa kwenye daladala unakuta mtu anaandika tu ujumbe wa kuinjika maharage kwa dada wa kazi lakini anavyoificha hiyo simu ili usione anachoandika utadhani anatuma ujumbe wa kuihujumu nchi. Kwani sababu hasa ya kuificha simu huwa ni nini?