Kamanda Mambosasa tunaomba kituo chetu kikamilike haraka

Kamanda Mambosasa tunaomba kituo chetu kikamilike haraka

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,666
Reaction score
9,579
kwanza nakupa hongera kwa kuteuliwa kuwa kamanda wa kanda maalum ya DSM hakika ni mkoa wenye changamoto lukuki lkn naamini kwa ushirikano wa pamoja na ukiongeza ubunifu hakika tutafanikiwa sana!!

Wilaya ya Ubungo ni wilaya mpya na pia ndio lango kuu la kuingia jijini, hivyo tunaomba kituo cha polisi cha wilaya kinacho jengwa ktk eneo la kiluvya gogoni kikamilishwe haraka ili wananchi wa wilaya hii waanze kupata huduma, tunategemea uboreshaji zaidi wa kisasa unao endana na wakati huu.
 
Nafikiri huyu kamanda msikivu na atayafanyia kazi yote mliyoyasema.
 
tunataka jeshi la polisi la kisasa, kuanzia ofisi pamoja na vitendea kazi vya kisasa.
 
Back
Top Bottom