Historia ya Fursa

mpya9

Member
Aug 29, 2016
31
18
Hello! Habari!!

Leo nakuja kwako na historia ya fursa
Fursa ni nini?

Fursa ni pungufu lolote ambalo unaliona katika jamii yako au kwa mtu yoyote na kuweza kulipatia suluhisho.

Hivi unafahamu kuwa biashara zote duniani zimeanzishwa/zinaanzishwa kwa msingi wa falsafa moja tu ambayo ni "uzembe wa mtu Fulani ni biashara kwa mtu mwingine".

Tazama video hii utaelewa namna uzembe ulivyokuwa chachu kubwa ya maendeleo wazungu wanasema "if necessity is the mother of all invetions then laziness is the father of innovation". Katika historia hii ya fursa utapata kufahamu namna mwanadamu alivyoweza kupata fursa panapo uzembe, mabadiliko ya mazingira pamoja na mabadiliko ya mifumo ya kijamii mifano yake ikiwa ni ujamaa na ubepari.

 
Back
Top Bottom