Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Habarini wana na wadau wa jamiiforums. Naomba nipate ufafanuzi juu ya terminologies hizo hapo juu kwa wajuzi na wenye ufahamu wa mambo ya miji na mipango miji.
Pia dar es salaam ipo katika kundi gani hapo, na inatakiwa kuwa na nini ili ipande kwenda nafasi nyengine.
Pia dar es salaam ipo katika kundi gani hapo, na inatakiwa kuwa na nini ili ipande kwenda nafasi nyengine.