Vijana waliodeki barabara mwaka 2015 wana cha kujutia?

Vijana waliodeki barabara mwaka 2015 wana cha kujutia?

herikipaji

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
1,199
Reaction score
1,378
Mwaka 2015 kipindi cha kampeni na mafuriko ya watanzania waliochoshwa na udhalimu wa chama dola walifikia hatua ya kudeki barabara ili mgombea wa upinzani kwa nafasi ya urais apite ashinde urais kuelekea nchi ya ahadi ya maziwa na asali.

Wapo watu walibeza, walikejeli na maneno mengine mengi yasio staha, sasa hata leo kwa hali iliopo sasa Tanzania wale vijana mnafikiri wakirejerea uamuzi wao wa kudekia barabara wana cha kujutia? au walikuwa sahahi sana?
Kumbuka wakulima wanalia kwa mateso pembejeo na ruzuku hamna tena, wanakatazwa wasiuze nje, wafanyakazi wanalia, wanafunzi mikopo wengine wanapata Tshs. 1000/= Raia wengi wanazidi podoka kwa ugumu wa maisha.
Sasa Mwaonaje?


l.jpg


f.jpg

lt.jpg
 
Back
Top Bottom