Bariadi: Mwanamke agongwa na atupwa mtaroni

Bariadi: Mwanamke agongwa na atupwa mtaroni

DUMEGUY

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
499
Reaction score
206
Tukio lilitoke katika kijiji cha Salunda, Bariadi Majira ya Jioni ni baada ya Mwanamke Mmoja aliegongwa na gari na Watu wasiojulikana nakisha kutupwa mtaroni, kwa mujibu ya maelezo yanasema kua alisalia mtaroni Takribani siku 9 ndio alipata msaada na kupelekwa hospitali ya Somanda na kwa sasa anaendelea vizuri na matibabu kwani alivunjika mguu mara 2.
My Take; Imenisikitisha sana yani unamgonga mtu alafu unamtupa mtaroni, kwakweli watu tumetofautiana.
 
mungu bado yupo pamoja nae, in sh a all ah atarudi kwenye hali yake ya kawaida
 
Unamgonga binadamu mwenzio kisha unamtupa mtaroni? Huo ni uuaji tu dah!

Utalipwa kwa matendo yako,nyie mliomtupa binadamu mwenzetu Mungu hatowaacha bure.
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Inasikitisha sana, kuna baadhi ya Wanaadam wenzetu wamekosa kabisa Ubinaadam.

Kweli ana Maisha marefu, siku Tisa sio mchezo
 
Inatisha sana hali hii mkuu.Kuna mambo mengine ya ajabu sana.Yan unamgonga mtu afu unamtupa mtaroni.Ili iweje?
 
Tukio lilitoke katika kijiji cha Salunda, Bariadi Majira ya Jioni ni baada ya Mwanamke Mmoja aliegongwa na gari na Watu wasiojulikana nakisha kutupwa mtaroni, kwa mujibu ya maelezo yanasema kua alisalia mtaroni Takribani siku 9 ndio alipata msaada na kupelekwa hospitali ya Somanda na kwa sasa anaendelea vizuri na matibabu kwani alivunjika mguu mara 2.
My Take; Imenisikitisha sana yani unamgonga mtu alafu unamtupa mtaroni, kwakweli watu tumetofautiana.
Hii si kweli, yani siku tisa mtu alievunjika mguu tu!!!!? Yani ashindwe hata kujikokotea ktk nyumba akae mtaroni siku tisa? Na hizo siku tisa zote alikua anakula nini?
 
hapo ngosha umedanganya kabisa siku9 mtaroni bila kula wa kunywa haiwezekani kabisa, labda alikaaa siku 2 tu wewe ukaamua kutia chumvi iliyoharibika

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Mmhh. Pole yake huyo mwanamke kwani hizo ni tabia za madereva walio wengi pindi inapotokea wamemgonga mtu labda tofauti ni kwamba huyo katupwa mtaroni ila walio wengi kama ni barabarani hasa nyakati za usiku huwa wanawaacha hapo hapo.

Ila hizo siku 09 zote inamana hakuna hata wapita njia ambao walipita wakamuona?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mi nilifikiri "agongwa" ile ya kikubwa kumbe kagongwa na gari . ...

ila we jamaa siku 9!!! huu ni udamisi/mubalagha ( Exaggeration)
 
Ila wameongeza chumvi,siku tisa mtaroni alikua anakula nini siku zote hizo?

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
Mkuu hii inashangaza sana!! Labda alikuwa na furushi la chakula na dumu la maji. Au alikuta maji mtaroni alikuwa anashushia na nyasi au vyura. Hapa wameongeza chumvi kuna uongo kuhusu siku alizokaa mtaroni.
 
Siku tisa? Hapo umedanganya mkuu
Hili jamaa jiongo,, siku 9? Bila maji, bila chakula atamalizaje hizo siku? Angesema muda wa masaa (saa) 9 ningemwelewa!! Ina maana hiyo barabara watu hawapiti? Kwa nini hawajamwona siku zote hizo?
 
Back
Top Bottom