Si busara kudhihaki Majeshi yetu ya ulinzi na usalama!

tramadol

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
5,383
Reaction score
4,323
Naona Sasa tumevuka mipaka kama tumeanza kuligusa na kutoa maneno ya dhihaka dhidi ya wapiganaji wetu yaani majeshi yetu ktk mitandao.

Najua ktk utendaji wa kazi yoyote ile mapungufu hayakosekani lakini si mpaka ifike hatua ya kutoa maneno ya dhihaka dhidi majeshi yetu na hata maneno Makali zaidi.

Tukumbuke Majeshi yetu ndiyo yanatufanya tuishi Salama kama nchi kwa kufanya kazi usiku na mchana.

Nadhani Kuna u muhimu wa kuangalia jinsi ya kutoa maoni namna ya kuboresha Majeshi yetu lakini si kwa dhihaka kama ninavyoona.

Majeshi yakigawanyika hakuna atakayebaki Salama.Tuwatie moyo na kuwapenda kwa kazi ngumu wanayoifanya ktk ulinzi wa Taifa Majeshi yetu yote.
 
Rubbish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu weka link tuone hiyo thread au huo mtandao ulioyadhihaki majeshi yetu. Thread inahang tu bila evidence yoyote
Uzi huo umeshafutwa na mods..Ulikuwa unasema..'Kwanini majeshi yetu ya Tanzania' Sasa wachangiaji wamedhihaki sana majeshi yetu na kuyatolea maneno yasiyo na staha mpaka matusi Kitu ambacho si cha kiungwana kwa Majeshi yetu.

Naona mods yameona hilo na si vema Katika mustakabali wa AMANI ya nchi.
 
Majeshi yanayofanya kazi ucku na mchana unayajua ww nenda kongo hapo ndo utaona wanajeshi wanavofanya kazi 24/7 hawa wetu km hawalali ucku watakua wameamua tu maana saivi tuna vita vya kiuchumi tu vyenyewe havihitaji mitutu vile

Sent using Jamii Forums mobile app
Majeshi ya nchi zote duniani yanafanya kazi usiku na mchana.Siyo lazima nchi iwe kwenye matatizo ambayo unayasikia kama DRC ndiyo eti ujue kama Majeshi yanafanya kazi.
 
Uzi huo umeshafutwa na mods..Ulikuwa unasema..'Kwanini majeshi yetu ya Tanzania' Sasa wachangiaji wamedhihaki sana majeshi yetu na kuyatolea maneno yasiyo na staha mpaka matusi Kitu ambacho si cha kiungwana kwa Majeshi yetu.

Naona mods yameona hilo na si vema Katika mustakabali wa AMANI ya nchi.
Mama yangu.Nini chimbuko la hii chuki?

Marekani wananchi wote wanawathamini wanajeshi wao.Katika ndege wanaingia kwanza wanajeshi.
 
Uzi huo umeshafutwa na mods..Ulikuwa unasema..'Kwanini majeshi yetu ya Tanzania' Sasa wachangiaji wamedhihaki sana majeshi yetu na kuyatolea maneno yasiyo na staha mpaka matusi Kitu ambacho si cha kiungwana kwa Majeshi yetu.

Naona mods yameona hilo na si vema Katika mustakabali wa AMANI ya nchi.
Uzi upo acha porojo
 
Back
Top Bottom