Salam jaman husika na kichwa cha habari hapo juu natafuta shule ya advance mchepuo wa PCB mikoa ya morogoro Arusha Tanga na moshi please mwenye information yoyote nichek
Mobile: 0769500302...
Nawasalimu wana jukwaa.
Mi naomba kujua utaratibu wa kuchange flight date ukiwa na tiketi ya fastjet na je kuna gharama zozote za ziada?
Nawasilisha.
Ahsanteni sana.
Kwa wale waishio Mbezi mtaa wa Temboni_Bwaloni kwa Musuguli kuna huyu dk ana maabara yake karibu na ofisi ya serikali ya mtaa.Amewasaidia wengi toka Kairuki hospital ,Bosch hospital ,Kwa Bigambo...
Taasisi hii jamani kulikoni? Hv sasa ukitaka wakupatie settlement quotation ya mkopo wako wanakutaka ulipe tsh 10,000/_ kwa ajili ya kukupatia quotation hiyo.
Mbaya zaidi WANADAI pamoja na...
Na Mgeni wa Jiji
Nianze kwa kuwapa salamu za Eid ndugu zangu waislamu nchini na duniani pote tusheherekee kwa amani.
Sasa twende kwenye mada moja kwa moja ambapo leo nitaomba tulitafakari hili...
USIJENGE KIHOLELA, TAMBUA MAMBO HAYA MUHIMU KUHUSU 'KIBALI CHA UJENZI'
1. KIBALI CHA UJENZI
Kulingana na sheria ya ujenzi wa majengo Mijini si ruhusa kwa mtu yeyote kujenga au kuanza kujenga...
Ukiona watu wanakuogopa. Mke , watoto ukiingia nyumbani wanaingia vyumbani, ujue wewe si baba mwema, wewe ni dikiteita. katili!
Ukina watu hawakuogopi ujue wewe unakubalika na familia yako , na...
Nimeikuta Facebook na kwa ridhaa ya mhusika kanikubalia kuiweka humu
...................................................................................
Kwa kilichotokea hapo majuzi kwenye usaili...
Kwa niaba ya Wana JamiiForums ninawatakia mashekhe wetu walionyimwa dhamana,Sikukuu ya Iddi yenye heri na iliyojaa furaha! Mashekhe hawa ni wale waliosota gerezani bila kupelekwa mahakamani miaka...
Serikali yetu ya JMT ina mihimili mikuu mitatu ambapo leo naomba nijikite kwenye huu muhimili mahakama, kiukweli huu muhimili ni sanamu nasema hivi kwa kurejea kilichotokea Kenya katika kesi ya...
Habari zenu wana jukwaa natumaini mko poa
Kuna jambo linanitatiza kidogo nimeona nililete hapa kwani naamini jf ni kisima cha maarifa
Kama tunavyojua mwili unahitaji chakula ili ufanye kazi...
Hello JF,
Hii sio mpya ila nalileta kwenu tulidiscuss tena,
Baadhi ya shule za O Level na A level zigeuzwe kuwa vyuo,
Sasa hivi mtu mzima kujiunga na shule hizo za O level na A level kuna...
nimeskia kuna bomoa bomoa huko tuangoma kigamboni. Naomba mnijuze ni sehem gani na mradi gani serikali inataka kufanya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa muda mrefu,miezi ya hivi karibuni Korea Kaskazini alikuwa na "mikwara" ya aina yake!
Majaribio ya makombora ya mara kwa mara yaliifanya dunia kuwa na wasiwasi sana.
Hivi karibuni Korea...
Wakati nikiwa katika misele mitaa ya ubungo darajani nimekutana na kioja ambapo babaji ilitoka mahali ilipokuwa imepaki na kuanza kutembea kwa kasi kuelekea barabarani. Hali hii ilizua tafrani...
Magari ya taka hayapaswi kukaa kwenye foleni ndefu barabarani kutokana na umuhimu wa bidhaa walizo beba kuwahi kufikiswa zinakokwenda kuhifadhiwa
Kama vile Traffic police wanavyosaidia watu...