balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 14,456
- 12,581
Kwa wale waishio Mbezi mtaa wa Temboni_Bwaloni kwa Musuguli kuna huyu dk ana maabara yake karibu na ofisi ya serikali ya mtaa.Amewasaidia wengi toka Kairuki hospital ,Bosch hospital ,Kwa Bigambo Msewe na hata wanafunzi wa St Anne Marie sekondari kwa Musuguli.Jamaa amefariki dunia jana jioni.Mbele yetu nyuma yake ,bwana alitoa,bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe.Mwanga wa milele umwangazie ee baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app