Uzembe Afya kwa Baadhi ya wahudumu

Uzembe Afya kwa Baadhi ya wahudumu

Kweli77

Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
38
Reaction score
14
Wizara ya Afya
Baadhi ya wahudumu kuondoka kituo cha kazi kila weekend na kwenda mijini kwa matanuzi.Kuna kituo kinaitwa Usengelindete kata ya Wasa Mkoani Iringa tuonaomba Mganga Mkuu Wa Wilaya aanglie vizuri wahudumu wake hawakai vituoni .Wanaopata shida sana ni akina mama wakati wakujifungua na hili linaweza kutokea muda wowote halinaga wikendi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaa tunachokaga eti we nawe vip

mimi miguu inavimba ukiiona unaona mpaka mishipa kisa nawahudumia watu alafu cha ajabu ata mshaharra mdogo ebooo

embu mtuache aisehh tuinjoi ukirudi nyumbani umechoka ni ulaalaa tu ukiamka saa ya kazini ishafika

pambaneni na hali zenu mfyuuuu
 
kituo kinaitwa Usengelindete.....daaaah... Pamulikwe hapo aisee
 
Sawa, ila fuatilia chanzo cha wao kutokaa kazini

Kada wa kwenye CCM mpya
 
Back
Top Bottom