jodac
JF-Expert Member
- Apr 9, 2014
- 354
- 380
Hivi mateso ya nmb master card yataisha lini? Gharama mnazo tupa wateja nikubwa mno, ~3500 kwakila muamala kutoka 600 tulio kuwa tunachajiwa kwa ATM.
Alaf hiliswala linakuja mwisho wa mwez
Ambapo kwa kutumia TELLERS mapato ya bank yatakuwa mkubwa[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Alaf hiliswala linakuja mwisho wa mwez
Ambapo kwa kutumia TELLERS mapato ya bank yatakuwa mkubwa[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]