Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,440
- 38,437
D. Balile - Mhariri wa JAMHURI na Mkoko, wapo Azam Two na Morning Trumpet.
Balile: Kuhusu Kenya, Katiba ya Kenya haisemi ktk kipindi hiki cha mpito, Binge Lipi litakaa, la zamani ama jipya ili kuitisha uchaguzi.
Balile: Katiba pendekezwa ya Warioba iliruhusu KUHOJI MATOKEO YA UCHAGUZI MAHAKAMANI, kama umashinda uchaguzi mkuu, unaogopa nini matokeo yako kuhojiwa!
Mkoko: Hapa kwetu kuna mtu kasema Katiba mpya sio kipaumbeke chake.
Mkoko: hiki kilichotokea Kenya, hata USA hawajawahi kudhani.
Msipende kutafuniwa....!
Sent using Jamii Forums mobile app