de98
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 737
- 760
Habari
Kama. tittle inavyojieleza ,siku izi wizi kupitia mtandaoni umezidi.kuna baadhi ya web & social network zinasema unaweza jishindia pesa kwa kusambaza ujumbe wao.Angalia hizi picha usome ujumbe uliopo then tujue ka kuna ukweli wowote hapa.Karibuni Tushauriane.