TCAA waliona Mbali: Drone yakosakosa Kuiangusha AIRBUS A320

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
0365EED8000007D0-4858664-image-a-1_1504713697967.jpg

0A12E83600000514-4858664-image-a-10_1504713989690.jpg


Drone ilipaishwa urefu usiokawaida na kujikuta ipo foot 100 karibu na Ndege hiyo iliyokuwa imebeba abiria.

Wataalamu wa Mambo ya usafiri wa anga Uingereza wameliingiza kwenye listi ya viashiria vya hatari vya juu "HIGH RISK" kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita.
ni matukio ambayo yametokea mara kwa mara ila hili walilitafsiri kuwa Drone ilipaa nje ya kimo cha kawaida "Beyond Practical Limits"

chanzo
Drone flew just feet from Boeing 787 over London Heathrow | Daily Mail Online

Maoni...
Kinga ni bora.
TCAA walipoleta wazo la Kuwa na vibali vya Kumiliki Drone waliona mbali.
 
Back
Top Bottom