Tujiulize kama Taifa tumekosea wapi

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,328
12,625
Rais Magufuli amenikuna leo kwa kulitamka hili "tujiulize kama taifa tumekosea wapi" Hebu watanzania tumsaidie Rais wetu kumwambia wapi tulikosea.

Mimi naanza mchango wangu kwa kumwambia kuwa kwanza tulipokosea kwa kuwa na katiba mbovu isiyozilinda rasilimali zetu. Tuandike upya katiba yetu.
 
Tulikosea kungangania kuomba uhuru kabla hatujaweza kujiendesha wenyewe,failure ilianza kuanzia kwa Nyerere.

2.Kukubali kupelekeshwa kama mingombe na hawa mbwa wa kijani
 
Tunakosea kwa kutokua na regulations reviews,

kuanzia sasa kila regulation iwe inapitiwa kila baada ya miaka mitatu,

kuona kama bado iko relevant tuendelee kuitumia

au tuibadilishe,

hao wawekezaji wanatumia fursa kuchota na kunufaika kwa sheria za miaka 70!
 
Elimu ndo mkombozi kwani vingine vyote vinakuwa rahis kama tu wananchi wata kuwa na elimu bora na wao kujitambua.
 
Rais Magufuli amenikuna leo kwa kulitamka hili "tujiulize kama taifa tumekosea wapi" Hebu watanzania tumsaidie Rais wetu kumwambia wapi tulikosea.

Mimi naanza mchango wangu kwa kumwambia kuwa kwanza tulipokosea kwa kuwa na katiba mbovu isiyozilinda rasilimali zetu. Tuandike upya katiba yetu.
Wanataka kumuua Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom