Sokoli
Senior Member
- Apr 14, 2017
- 192
- 128
Wakuu leo nimepanda basi la BM kutoka Moro kuja dar, wamekuja na mpya ndani ya basi moja nauli mbili tofauti kuna viti vinne vya mbele wanaiita VIP nauli shs 10,000/=vinavyofuata nyuma ni bei ya kawaida ambayo ni 7000/=sasa sijajua vile vya mbele vina nini cha tofauti na vile vya nyuma?lakini niwape hongera wamiliki kwani ni mabasi mazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app