nover
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 239
- 178
Leo nilienda kutoa fedha crdb kupitia Atm cha kushtusha nimekuta fedha salio limepungua kwa kiasi cha milioni tano. Nimeongea na Huduma kwa Wateja crdb wananiambia kua kuna muamala ulifanyika jumatatu kuna mtu alienda akachukulia fedha dirishani zaidi ya Milioni 5 ila anashindwa kuniambia kua ni tawi gani. Kwa anauejua utaratibu wa kufata naomba anifaamishe tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app