Nani anayewatuma Watanzania waliokana uraia na kuishi nje ya nchi?

WASHE

JF-Expert Member
Jan 9, 2017
746
394
Nashangazwa Sana na watanzania waliokana urai wa Tanzania na kuwa raia wa nchi flani. Halafu ndiyo wamekuwa mstari wa mbele kutukana viongozi wetu. Hawa watu wako marekani nani anayewatuma? Kama kweli wanania nzuri kwanini watukane wakiwa wamejificha ng'ambo? This is not fair
 
Kama na wewe una nia nzuri kwa nini unatumia 'fake ID'?... Isitoshe sidhani kama wanatukana maana wote matusi tunayajua. Miaka hii mtu akikosolewa, ndio katukanwa?

"A voice of one calling in the wildernes"
 
Nashangazwa Sana na watanzania waliokana urai wa Tanzania na kuwa raia wa nchi flani. Halafu ndiyo wamekuwa mstari wa mbele kutukana viongozi wetu. Hawa watu wako marekani nani anayewatuma? Kama kweli wanania nzuri kwanini watukane wakiwa wamejificha ng'ambo? This is not fair
Wewe mwenyewe ni MTU USIYEJULIKANA UNA ID FEKI UNAHOJI TUHUMA ZISIZOJULIKANA
 
Nashangazwa Sana na watanzania waliokana urai wa Tanzania na kuwa raia wa nchi flani. Halafu ndiyo wamekuwa mstari wa mbele kutukana viongozi wetu. Hawa watu wako marekani nani anayewatuma? Kama kweli wanania nzuri kwanini watukane wakiwa wamejificha ng'ambo? This is not fair
Asante kwa kuanzisha uzi
 
Watajeee dadeki
 
Kwa hali ilivyo sasa hv nchini hata mm nikipata nafasi ya kuwa raia wa USA, naukana utanzania.
 
Back
Top Bottom