Chanel TEN ya Vunja Sheria ya Mwakyembe

Chanel TEN ya Vunja Sheria ya Mwakyembe

Col FEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
327
Reaction score
460
Kwenye kipindi cha Magazeti Leo Asubuhi TV ya Chanel 10 wameamua kuvunja Sheria ya Kusoma vichwa vya habari vya Magazeti kwa Kusoma Habari inayo muhusu Mh.Makonda kwa ukamilifu tofauti na Amri iliyo tolewa na Mh.Waziri Mwakembe kuwa wanapaswa Kusoma vichwa vya Habari tu!

Najiuliza je Sheria siyo Msumeno tena? Kuna baadhi ya watu hawaguswi na Sheria hizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwni mwa_embe na bashite katika nchi hiii nani ana nguvu zaidi?,hyo channel ni swahiba za bashite so huyo mwa_embe lazima atakaaa kimya vingnevo yatamkuta na NAPE
 
Wasome tu kwani kuna mtu kadhurika?

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app

 
Acheni kuwajadili ili waporomoke zaidi maana kilasiku wanakuja na mambo ya ajabu
 
Unaangaliaje channel chovu kama hyo asubuhi yote hii,au na wewe mchovu?.Angalia vyombo vya habari vyenye weledi
 
Mwakyembe ana ripoti kwa majaliwa wakati bashite anaripoti kwa daddy 😀
 
Mwakyembe yeye anabweka tu, no impact
 
Habari ya Naibu wa rais lazima isomwe kwa ujumla wake
 
Back
Top Bottom