barqis
Member
- Jun 3, 2017
- 28
- 22
Nawasilisha kwenu wadau wa usafiri wa mabasi hii mada kuhusu Kampuni ya Simba Mtoto kwa safari ya Tanga -Dodoma,wamekuwa sio rafiki wala kuwa na Huduma bora kwa wateja wao,mmoja wapo ni mm nimekata tiketi ya kutoka Tanga kwenda Dodoma ambapo niliambiwa nifike saa 11:30 alfajiri na basi litaondoka saa 12:00 asubuhi lakini yapata zaidi ya saa nzima sasa hakuna kinachoeleweka na Uongozi umekaa kimya pasipo kuwa na kauli yoyote,kwangu inakuwa mwanzo na mwisho kutumia usafiri huu maana ni uswahili na hali ya kutojali mteja na biashara yao kwa ujumla......Hawa Simba watoto waacheni kama walivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app