Tuliowapa Mamlaka Vs Mnaotamani Mamlaka

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,210
5,935
Toka Mwanaharakati Mh. Tundu Lissu apatwe na maswahiba yaliyompata pamekuwa maneno mengi. Aidha maneno hayo ni muendelezo wa yale ambayo mwanaharakati Mh. Tindu Lissu amekuwa akiyasema.

Napenda kuwaelekeza wapendwa wote kwa neno katika Biblia

Yakobo 4:11-12
Kuhusu Kuhukumiana

11 Ndugu, msilaumiane ninyi kwa ninyi. Mtu anayesema maovu kumhusu ndugu yake au kumhukumu ndugu yake anailaumu sheria na kuihukumu. Unapoihukumu sheria, basi hutii sheria bali umekuwa hakimu wa sheria. 12 Ni Mungu peke yake ambaye ametoa sheria na pia yeye ndiye hakimu; ni yeye tu awezaye kuokoa na kuangamiza.

James 4:11-12
11
Do not speak evil against one another, brothers. The one who speaks against a brother or judges his brother, speaks evil against the law and judges the law. But if you judge the law, you are not a doer of the law but a judge.12 There is only one lawgiver and judge, he who is able to save and to destroy. But who are you to judge your neighbor?

Yatupasa TUOMBE HEKIMA
 
Back
Top Bottom