Gazeti la mwananchi baada ya kujificha kwa muda mrefu na agenda zake za uchochezi, sasa hivi limejipambanua kama gazeti la watu binafsi wanaopinga agenda za nchi na sasa Kila siku linaibuka na...
Tuesday, 20 September 2011 20:30
Nora Damian
HATIMAYE Mkuu wa zamani wa Jeshi la Polisi (IGP), Omar Mahita amekubali kumhudumia mtoto aliyezaa na mtumishi wake wa ndani, Rehema Shabani. Hatua...
Familia ya watu kumi ya Philemon Ishebea mkazi wa Bangwe mjini Kigoma inalala nje kwa zaidi ya wiki moja sasa baada ya nyumba yao kudaiwa kuuzwa katika mazingira yenye utata na kusababisha...
Kwanza natanguliza pole ya dhati kwa masahibu yaliyomkuta Mh. Tundu.
Kiukweli kama inavyosemekana kuw a zilimwagwa risasi zaid ya 28 kuelekea alipo yeye, kuwa mzima ni kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu...
Intelijgensia ya polisi wa Tanzania inayogundua kutakuwa na vurugu katika mikutano ya chadema inashindwa kugundua washambuliaji wa lisu wasiojulikana?
My take
Police wetu swala la kulinda raia...
Watu wanane wanaodaiwa kuwa ni wahalifu wamevamia jengo la Prime House lililopo Mtaa wa Tambaza na kufanya uharibifu wa mali za wapangaji.
Jengo la Prime House lina ghorofa tano lipo jirani na...
Ikiwa wenyewe jambo wanalazimisha liwe la kisiasa wakati mtu amejeruhiwa na wapo kama watoto au wanawake waliopo harusini,mtu uliye makini huwezi kuanza kusema tumefika lakini hatumuoni balozi...
Katika andiko langu la awali nilizungumzia nadharia ya fremu (framing theory) na jinsi inavyoweza kutusaidia kuwajua "WATU WASIOJULIKANA" katika shambulizi la risasi dhidi ya Mbunge Lissu...
kutokana na kuongezeka na kundi la watu wasiofahamika ambao wamekuwa wakitenda ama kutekeleza aina mbalimbali za kiuhalifu, tunaliomba jeshi la polisi litupe mbinu mbadala ya jinsi gani tunaweza...
Mawakili wa Bwana Slater na PETA ( The People for the Ethical Treatment of Animals) wamefikia makubaliano kuhusu nani anamiliki hatimiliki ya picha alizojipiga nyani Naruto huko Sulawesi...
Aisee hii nchi kuna mambo ya ajabu sana,
Tangu asubui umeme na maji vinasumbua kununua kwa njia zote za M-PESA au T-PESA, kila ukijaribu wanakuambia Selcom kuna tatizo la mtandao. Sasa sijui...
Wadau poleni na kazi ya kukabiliana na hali zenu.
Kuna tetesi kwamba NSSF wamefanya kikao jana tarehe 11/09/2017 na wafanyakazi wa Bulyankhulu Gold mine ambao wapo kwenye list ya redundancy na...
Jamii yetu itakuwa ya namna gani?
Iwapo mpenda haki
Atageuzwa kuwa adui wa watu
Tutakapogeuza mabaya kuwa mazuri
Na mazuri yakawa mabaya
Tunawasha moto
Utakaotuunguza sisi wenyewe
Na vizazi vyetu...
Habari zenu waungwana...
Je unaishi South Sudan au unamfahamu mtu anayeishi huko Awe mtanzania au raia wa huko?
Nina shida ya muhimu nahitaji kupata maelekezo kutoka kwa mtu anayeishi taifa...
Tunaona na kuvitumia vitu vya wazungu kama magari, TV, Simu, silaha na vinginevyo vingi tu. Waswahili nasikia nao wana, ungo wa kusafiria pia wana silaha kama, usinga, tego, mkweche, puju, zongo...
mara kadhaa nimemsikia rais wetu JPM akionyesha masikitiko makubwa na machungu ya moyoni akionyesha wazi wazi kuwa kuna mambo mengi ya ovyo ya ubadhirifu na hujuma ya mali za taifa letu bila hata...
Mtoa matangazo ya biashara na mwanasiasa wanafanana katika jambo hili:
Wote wanatafuta ku-hack mfumo wako wa kuwaza ili wapandikize software mpya itakayokufanya uwe unawaza kivingine kwa faida...
Kipanya rasmi sasa amejiunga na VodacomRED na atakuwa anakuletea mfululizo wa maisha anayoishi sasa baada ya kujiunga na huduma hii mpya inayotolewa na kampuni ya simu nchini Vodacom Tanzania...
Nimezoea zamani, kila pori lilikuwa halali yetu wasafiri.
Tunachimba dawa Dar hadi mwanza njia nzima imejaa haja ndogo na kubwa za wasafiri.
Kuna baadhi ya vichaka vilibadilishwa kama public...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.