timeline
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 458
- 2,498
Wapendwa,
Mimi ni mdau wa hii taasisi yetu ya kukusanya kodi.
Ni wiki mbili sasa ninapofuatilia baadhi ya huduma maofisa wa vitengo husika wananiambia kuwa hakuna network( hamna mtandao).
Nimesikia kauli hii mara kadhaa hasa kitengo cha bandarini na kwenye kutoa leseni.
Naomba kuuliza hivi Waziri wa Fedha na Mipango unafahamu hili?
Mtendaji mkuu wa TRA - Commissioner je unajua hili pia.
Inaleta usumbufu na inatoa mianya ya kuanza kutoa rushwa ili document zako zilizochelewa zishughulikiwe haraka.
1. Je tatizo hili ni halisi au linatengenezwa na maafisa wasio waaminifu ili kupata kitu kidogo?
2. Kampuni gani inatoa huduma ya networking ( internet server provider) kwa TRA bandari na TRA Samora pale wanapotoa leseni na TIN number?
Hili nalo ni la kuundia tume?!