KUMBUKUMBU-za Tarehe kama ya leo

KUMBUKUMBU-za Tarehe kama ya leo

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,869
Reaction score
5,170
1. Tarehe kama ya leo tarehe 11/9/2001 ndio siku ambayo kituo cha biashara cha Marekani WTO majengo pacha yaligongwa na ndege mbili ambazo tukio zima liliratibiwa na kikundi cha Al quaeda chini ya Osama Bin Laden na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 3000 na majeruhi kadhaa baada ya majengo hayo kuanguka


2. Tarehe kama ya leo 11/9/1971 Raisi Nikita Khruschev wa Urusi alifariki dunia.Alizaliwa mwaka 1894


3. Tarehe kama ya leo 11/9/1940 Dictator Hitler raisi wa ujerumani alivamia nchi ya Romania kwa lengo la kuweka airforce base kwa vile kulikuwa na akiba kubwa ya mafuta ili kujiwekea mhimili imara upande wa mashariki tayari kuivamia nchi ya Urusi


NA WEWE UNAKUMBUKA TUKIO LOLOTE KWA TAREHE HII YA LEO TUPIA HAPA ELIMU HII
 

Attachments

  • Osama.PNG
    Osama.PNG
    128 KB · Views: 37
Tarehe kama ya leo 1974, ndio Mfalme Haile Selassie I wa Ethiopian alipindulowa na kutolewa kwenye ufalme

Tarehe kama ya leo 2007 wa Russia walilioua Bomu la aina ya nano na lilijulikana kama "Father of All Bombs," ni Bomu kubwa kabisa ambalo sio la Kinyuklia lililopata kutengenezwa hapa Duniani mpaka sasa

Tarehe kama ya leo 2012 Ubalozi wa Marekani uliopo Benghazi, Libya, ulivamiwa na kuchomwa moto kabisa na wamarekani 4 waliuawa akiwemo Balozi wa Marekani nchini Libya Balozi, J. Christopher Stevens.
 
Back
Top Bottom