hivi serikali inakuwa serious kweli inaposema wanaume tuwasindikize wake zetu hospital?

Pendaelli

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
8,917
23,236
yaani tokea saa 2 asubuhi nipo kituo cha afya mpaka sasa na ninaambiwa huwenda mpaka saa 9 nimemsindikiza mke wangu clinic kwa ushauri wa mtoa huduma na matangazo ya wizara ya afya. sijafanya kazi na hatakula sijui nitakula nini leo!
yaani tanzania kwa mfumo huu wa utoaji huduma huu sidhani kama tutafika tunakotaka kufika.
 
mkuu unajiuliza utakula nini kwani huwa huweki akiba (precautional budget)

/Akifa shekhe kazi ya Mungu/
/Akifa mlevi sababu ya Pombe/
 
Me nilimwambia aseme kuwa niliikana mimba so wakamwandikisha hivyo hivyo...
 
Ukienda na mkeo hukai foleni unapewa upendeleo wa kuhudumiwa mapema.Wewe itakuwa uliona aibu ukakaa nyuma huko hivyo nesi asipokuona hatojua.
 
Back
Top Bottom