Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yaani risasi 38 zote unamiminia binadamu mwenzako?
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Niwausalama barabarani kituo cha nanyamba MTR.wanachokifanya ni usanii wa kitoto.Huwa hawayasimamishi mabasi yapitayo eneo lao..mabasi yafikapo vituo vya jirani huwatumia bodaboda kupeleka fedha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Utafiti uliofanywa na wasomi wa Chuo kikuu cha Nottingham nchini uingereza ulibaini kuwa sisi watanzania ndio vinara wa kuwa wanafiki duniani nini maoni yako.
8 Reactions
118 Replies
11K Views
Kuna maeneo ambayo zamani palikuwa na njia ya kukatisha, mengine ni barabara zilizo zoeleka kwa muda mlefu cha ajabu anakuja mtu anajenga na kuziba njia yenyewe na viongozi wa mitaa husika wapo...
0 Reactions
2 Replies
741 Views
Nakumbuka siku hiyo mtukufu Rais alipiga simu clouds 360 nakumchangia yule binti kipepeo aliyekuwa haoni mil 10 , mwafunzi wa mzumbe university, clouds 360 vipi mbona hamtupi majibu kama alipona...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Ngependa kufahamu ni mkondo gani inabidi ufwate au watu wa kuwasiliana nao ili kushtaki uendeshwaji wa kazi hatarishi kiafya na kwa mazingira katika makazi ya watu na bila ruhusa maalumu kuna watu...
0 Reactions
2 Replies
892 Views
Ndugu watanzania wenzangu natumai hamjambo? Naomba kujua kama mtu akiwa na mkopo bank, hasa kwa watumishi. Akihitaji kulipa mkopo wote kwa keshi au kwa kuuza kwa kampuni nyingine. Je, atadaiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali imepanga kujenga vitu vya afya mia moja vyenye uwezo wa kutoa huduma ya uzazi kamili kwa mama mjamzito ikiwemo upasuaji wa kumtoa mtoto tumboni katika kipindi cha mwaka mmoja kuanzia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ningependa kufahamu ni mkondo gani inabidi ufwate au watu wa kuwasiliana nao ili kushtaki uendeshwaji wa kazi hatarishi kiafya na kwa mazingira katika makazi ya watu na bila ruhusa maalumu. Kuna...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Nimefuatilia kwa maovu yanayotendeka nchini mwetu kwa hawa watu wasiojulikana kuchukua uhai wa watu bila sababu nikakumbuka kwamba ndiyo maana Mungu aliumba jehunum kuwaadhibu watu kama hawa maana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huenda ukawa unadaiwa madeni mengi na unaona nivigumu kwako kukabiliana nayo moja kwa moja, usiogope jaribu njia mbadala za kuweza kukabiliana na madeni hapa.Zifuatazo ni baadhi ya njia zitakazo...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Miaka ya nyumba zamani zangu hawa watu wenda walikuwepo sikuwa nawafuatilia au hawakuwepo kabisa. Sikuwahi kuona kibao cha dalali wa nyumba/Viwanja/vyumba... Sikuwahi kusikia mtu akilipa pesa ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habarini wana jukwaa... Niende kwenye mada... Mimi ni mkaz wa maeneo ya kibaha.. Kumekua na tabia isiyo njema inayofanywa na polisi wanaofnya patrol ktk barabara ya morogoro hasa maeneo ya kwa...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
  • Closed
Habari wanajamii, Tafadhali naomba kuwasilisha kwa mtu yeyote ambaye anajua au kufahamu kuhusu mradi wa Mji mpya Kigamboni Je, bado upo? Kama ni ndio unaanza lini? Utaratiabu wa fidia kwa...
3 Reactions
21 Replies
9K Views
Hivi majuzi niliposti Uzi juu ya tanesco kusini kuzorotesha uchumi kwa kukata kata umeme takriban Mara kumi kwa siku moja Wenyewe walijibu wakitaka niwabainishie in maeneo gani hasa yenye...
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Habari za leo wakuu, Jana Mhe. Mrisho Gambo, mkuu wa mkoa wa Arusha alitembelea Ngaramtoni kwa ziara ya kikazi. Mi naomba Mhishimiwa uwe unakuja kuja huuku ili tuwekewe lami kabisa. Maana kuja...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi hili tukio LA afisa mstaafu wa jw kupigwa risasi ni ujambazi wa kuwania Mali au ndo miongoni mwa wanaowashwawashwa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
853 Views
habari zenu wakuu. nimejaribu kufikiria kidogo, nikapiga mahesabu na mwishowe ninapata jibu la undefined. hivi tunapo sema tanzania ya viwanda tunakuwa tunamaanisha viwanda vya aina gani? je...
0 Reactions
2 Replies
785 Views
Katika makala ya mwisho jana nilionesha jinsi nadharia ya fremu (framing theory) inavyoweza kutusaidia kuwajua "WATU WASIOJULIKANA" katika kuwatambua waliomdhuru mwanasheria wetu mahiri Tundu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkazi wa Mwakuhenga Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga NGALAMI DELEFA (25) anashikililiwa na jeshi la Polisi kwa Tuhuma ya kumpiga kwa Fimbo GEORGE LINGWA (21) na kusababisha kifo chake. Taarifa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…