mperembi
Member
- Sep 8, 2017
- 35
- 18
Hivi majuzi niliposti Uzi juu ya tanesco kusini kuzorotesha uchumi kwa kukata kata umeme takriban Mara kumi kwa siku moja
Wenyewe walijibu wakitaka niwabainishie in maeneo gani hasa yenye changamoto hizo.
Niliwatajia kuwa no MTR mjini vijijini tandahimba na mji was nanyamba
Chakustaajabisha badala ya tatizo kupungua limeongezeka Mara dufu.Eti naskia tangu waanze kuiuzia dangote umeme wameshindwa kumudu huduma za kawaida kwa wananchi.
Tanesco hii in kwa ajili ya nani hasa....zima washa zima washa hadi lini ...tumichoka
Sent using Jamii Forums mobile app